Una maswali mengine ya kuongezea kuhusu utafiti wa stadi ya SMILE? Tafadhali wasiliana nasi
ACE Africa - Kenya
Duke University - U.S.
Tafadhali kumbuka: stadi la SMILE haitoi huduma yoyote moja kwa moja(kama vile ushauri wa maswala ya afya ya kiakili, au maswala ya huduma ya kiafya) kwa washiriki. Hata hivyo, ukurasa wa rasilimali unanakili program na huduma zilizopo kwa mashirika katika nchi yako yanayoweza kusaidia.