Wasiliana nasi

Una maswali mengine ya kuongezea kuhusu utafiti wa stadi ya SMILE? Tafadhali wasiliana nasi

TINADA Youth Action Africa - Kenya

Mchunguzi: Ammon Otieno (he/him)
Mwasilianaji wa mradi: Valentine Okello (she/her)
Barua pepe: ammonotieno@tinadaafrica.org
Simu: +254 798 204 046

Duke University - U.S.

Mchunguzi: Kathryn Whetten, PhD, MPH (they/them)
Mwasilianaji wa mradi: Amy Hobbie, MPH (she/her)
Barua pepe: amy.hobbie@duke.edu
Simu: +1 919-613-5471

Tafadhali kumbuka: stadi la SMILE haitoi huduma yoyote moja kwa moja(kama vile ushauri wa maswala ya afya ya kiakili, au maswala ya huduma ya kiafya) kwa washiriki. Hata hivyo, ukurasa wa rasilimali unanakili program na huduma zilizopo kwa mashirika katika nchi yako yanayoweza kusaidia.